Ezekiel 43:13

13 a“Hivi ndivyo vipimo vya madhabahu kwa dhiraa ndefu, yaani, dhiraa moja na nyanda nne:
Dhiraa 1 na nyanda 4 ni sawa na sentimita 53.
Tako lake liwe na kina cha hiyo dhiraa moja na upana wa hiyo dhiraa moja, ikiwa na ukingo wa shibiri moja
Shibiri 1 ni sawa na sentimita 22.5.
kuizunguka pembeni. Hiki kitakuwa ndicho kimo cha madhabahu:
Copyright information for SwhKC